Absence of vagina and deformed(non-functional vagina)

mbaraka.m

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
209
Reaction score
37
Jamani naomba mwenye uwelewa zaidi ya izo condition.kutowepo kwa mwandu(vaginal agenesis) and vaginal atresia
 
Vagina ni female genitalia. Ina Labia majora, Labia minora clitoris, urethral orifice na vaginal orifice kwa nje. Vaginal canal ambayo ni njia iliyopo kwa ndani ambayo ukuta wake wa nyuma upo sambamba na ukuta wa mbele wa rectum. Kama vyote hivyo vipo basi ni mambo sawa. Mara chache huwa kimoja wapo au vichache ya hivyo vinakuwa hamna. Hapo Daktari bingwa wa upasuaji anaweza kufanya maamuzi baada ya vipimo kuwa afanye masahihisho na matengenezo ILI mwenye hili tatizo aweze kuishi vyema. Na wengi baada ya masahihisho wameishi vyema hata kupata watoto ilimramdi uterus na ovaries zipo patent. Kama sijajieleza vizuri utanisamehe. RARE GENETIC DISORDERS IN FEMALES.
 
nashukuru mkuu nimepata mwanga
 
Ndugu hizi terminologies zinaweza kukuumiza sana kichwa.Maana kuna wakati zinaweza kutumika zikiwa na maana sawa na wakati mwingine zikiwa na maana tofauti kabisa.

Labda kwa kuanzia: "a-" maana yake absence or insuffient or abnormal.
"-gen(e)" maana yake ni chimbuko(origin) or normal being.
"-sis" maana yake ni process au mchakato.

Sasa angalia: a-gene-sis -inaweza kuwa -abnormal being formed au failure of being formed au absent kabisa.Ninaposena abnomally formed ni pamoja na kukosekana kwa baadhi ya structures kwenye organ fulani,in this case,ni kukosekana kwa baadhi ya structure zinazoumba vagina wakati wa mchakato/process ya uumbwaji wake.Nasisitiza,hapa tunaongelea wakati wa organogenesis(organ formation),maana ikiwa kasoro zinatokea baada ya kuzaliwa,hiyo haitaitwa tena agenesis.

Atesia inatumika kwenye hollow organs tu! Hii inatumika ikiwa aidha hiyo organ imeziba au haipo kabisa.Nasisitiza tena hapa si lazima tatizo liwe limeanzia wakati wa organogenesis.Hii inaweza kuwa congenital(kuzaliwa nayo) au acquired(baada ya kuzaliwa)!

Sasa ukiangalia kwa case ya vagina itakuwa vigumu kuzitofautisha. Maana zote zinaweza kuwa abnormally formed au haipo kabisa.Kwa maana nyingine ni kwamba Vaginal agenesis na Vaginal atresia ni kitu kimoja,labda tofauti tu kwa vile vaginal atresia inaweza kuwa acquired.

Kwa upande wangu,mimi ndivyo ninavyofahamu.Lakini kwa vile sayansi haina jibu moja,wengine nao wanaweza kutudadavulia ufahamu wao hapa.
 
nashukuru mkuu nilikuwa sijui kama ni kitu ki1.
 
Back
Top Bottom