Ndugu hizi terminologies zinaweza kukuumiza sana kichwa.Maana kuna wakati zinaweza kutumika zikiwa na maana sawa na wakati mwingine zikiwa na maana tofauti kabisa.
Labda kwa kuanzia: "
a-" maana yake absence or insuffient or abnormal.
"-
gen(e)" maana yake ni chimbuko(origin) or normal being.
"-
sis" maana yake ni process au mchakato.
Sasa angalia:
a-gene-sis -inaweza kuwa -
abnormal being formed au
failure of being formed au
absent kabisa.Ninaposena abnomally formed ni pamoja na kukosekana kwa baadhi ya structures kwenye organ fulani,in this case,ni kukosekana kwa baadhi ya structure zinazoumba vagina wakati wa mchakato/process ya uumbwaji wake.Nasisitiza,hapa tunaongelea wakati wa
organogenesis(organ formation),maana ikiwa kasoro zinatokea baada ya kuzaliwa,hiyo haitaitwa tena
agenesis.
Atesia inatumika kwenye
hollow organs tu! Hii inatumika ikiwa aidha hiyo organ imeziba au haipo kabisa.Nasisitiza tena hapa
si lazima tatizo liwe limeanzia wakati wa
organogenesis.Hii inaweza kuwa congenital(kuzaliwa nayo) au acquired(baada ya kuzaliwa)!
Sasa ukiangalia kwa case ya vagina itakuwa vigumu kuzitofautisha. Maana zote zinaweza kuwa abnormally formed au haipo kabisa.Kwa maana nyingine ni kwamba
Vaginal agenesis na
Vaginal atresia ni kitu kimoja,labda tofauti tu kwa vile vaginal atresia inaweza kuwa acquired.
Kwa upande wangu,mimi ndivyo ninavyofahamu.Lakini kwa vile sayansi haina jibu moja,wengine nao wanaweza kutudadavulia ufahamu wao hapa.