Abubakar Abdallah
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 281
- 170
NO INGLISHI NO SEVISI......am glad to join the jf family,.....only one phrase,.....the more yu fail,the more yu get experience en create more opportunies to win...
Nani kakudanganya kama haya majina ni halali??Mnakuja vizuri na majina yenu halali ili kutushawishi. Tatizo picha zenu hamuweki
Ahsnt sankaribu sana JF............
Tc ril name mkuuNani kakudanganya kama haya majina ni halali??
Comment tu hii tushaelewa unatokea jamii ya fesibuku jaribu kuacha huko hzo Tc rilTc ril name mkuu
Hongera kwa kijisajiri kwa real nameTc ril name mkuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Comment tu hii tushaelewa unatokea jamii ya fesibuku jaribu kuacha huko hzo Tc ril
Unaumwa TUMBO LA KUHARA?Tc ril name mkuu
Karibu JF, ukiwa hapa itabidi ubadilishe mwandiko wako.......am glad to join the jf family,.....only one phrase,.....the more yu fail,the more yu get experience en create more opportunies to win...
Enhe niandikeje?Karibu JF, ukiwa hapa itabidi ubadilishe mwandiko wako.
Andika kiswahili au kiingereza kinachoeleweka na kusomeka.Enhe niandikeje?