Abunwasi na Nchi ya Kusadikika

Abunwasi na Nchi ya Kusadikika

navy boi

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
1,517
Reaction score
480
ABUNWASI NA NCHI YA KUSADIKIKA

Abunwasi anaaminika na wafuasi wake ni "msomi bora kabisa kuliko wasomi wengine katika fani ile" ila hajajitambua kwamba sheria ni ile ile katika nchi ya Kusadikika.

Wafuasi wake nao wanamsifu, wanamuinua, wanamfagilia, wanampa kiburi kupita kiasi naye anaitikia kuonyesha kwamba ni jasiri na anaweza kila kitu.

Sifa zinazidi na kutamka kila analoamini kuwa ni sahihi kwake kwa kadri ya uwezo wake.

Abunwasi sasa amesimama juu ya kilima kirefu kuliko vyote na sasa anapaza sauti ili kila mwananchi wa ile nchi ya Kusadikika asikilize zile tambo zake za umahiri.

Sasa Abunwasi kapaa angani hata zaidi ya Rocket ya kivita. Viongozi wa nchi ya Kusadikika wanainua vichwa na macho yao kuona mwisho wa safari ya Abunwasi itakuwa wapi.

Abunwasi anatamani kushuka lakini anagundua alipaa umbali mrefu na hawezi kushuka.

Tamthilia ndo inanoga na watazamaji wanaongezeka!

WATCH OUT PART TWO
 
Ni lini utaweka hiyo part 2??
 
Ukiona tangazo limechanwa ujue limesomwa
 
nisaidieni njia ya Ku download hivi vitabu jamani natamani sana ila nashindwa
 
Back
Top Bottom