Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
ABUSHIRI BIN SALIM AL HARITH AKIZUNGUMZWA KUTOKA ZANZIBAR
Nimeizungumza historia ya Abushiri Pangani nikiwa nimesimama Mtaa wa Uhindini, nikiwa njiani naelekea kwenye kaburi lake.
Nimemzungumza Abushiri nikiwa pembeni ya kaburi lake.
Mazungumzo haya kwa mara ya kwanza yamedhihirisha kuwa kaburi la Abushiri lililokuwa inasemekana kuwa halijulikani lilipo lipo Pangani ingawa nyumba imejengwa juu ya kaburi hilo.
Nimepokea msg nyingi watu wakitaka kujua historia ya Abushiri na vita vyake na Wajerumani kuanzia Zanzibar, Bagamoyo hadi Pangani aliposhitakiwa katika mahakama ya kijeshi na kuhukumiwa kunyongwa.
Rashid Salim wa Al Fatah TV Zanzibar amenialika kwenye studio zao kwa mahojiano maalum kuhusu Abushiri bin Salim Al Harith.
Sikiliza mazungumzo yetu:
View: https://youtu.be/RqsCEEQD3sk?si=wmGx7RsEgQeiYlHJ