Assalaam alaykum warahmatullahi wabaraakatuh kaka na dada zangu wa JF.
Nimeamua kujiunga humu ili niweze kujifunza mambo kadha wa kadha kutokana na hoja anuai katika mazingira yetu ya kisiasa, kiuchumi, kitamaduni na kijamii pia ili niweze kujengeka kifikra huku nikiamini kuwa humu JF wapo wenye maarifa na wasiomaarifa kuhusu masiala hayo niliyohorodhesha hapo juu!!
Lakini pia nijifunze mengi kuhusu historia za mataifa mbalimbali pamoja na mifumo yake duniani!!
Asante.
aAcha udini
sawa ustadhyule alitazamaye jambo na kulitafsiri kwa upeo wake ndivyo alivyo.
wewe ndio mdini zaidi kuliko mimi,kwani hujawahi kuona watu ambao si waislamu wakiwasalimu waislamu kwa salamu ya kiislamu?
udini wangu uko wapi sasa?
salamu tu ndio inifanye niwe mdini,KWELI?
Allah akuhifadhi na akihifadhi kinywa chako. amiyn
a
Karibu sana. Lakini huoni kwamba kutumia jina lako halisi kutakunyima fursa ya kuchangia mada kwa uhuru na uwazi? Tafuta jina la bandia alafu uwaombe mods wakubadilishie jina...Nimeamua kujiunga humu ili niweze kujifunza mambo kadha wa kadha kutokana na hoja anuai katika mazingira yetu ya kisiasa, kiuchumi, kitamaduni na kijamii pia ili niweze kujengeka kifikra...
Asante.