Abweka kama mbwa kisha afariki dunia

Pengi jamaa alikuwa ni mhanga wa kungatwa na mnyama mwenye kichaa( rabid dog) ndio maana alibweka kama mbwa ambapo kupatwa na umauti haraka karibu asilimia mia.

Hakuna uchawi wala nini hapo. Kichaa cha dogi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…