Mkuu mbona sikuelewi?Safi mleta mada kwa habari nzuri. Afisa habari wa Ac Milan barani Africa vilevile akiwa kama msemaji Mkuu wa Prophet RONALDINHO GAUCHO aitwae GANG CHOMBA nipo nae hapa VINOVO anajiandaa kuwaletea upembuzi yakinifu na faida ya Ac Milan kuuzwa kwa hao wakezaji kutoka China. Buona notte
Hahahahaha...Na arsenal iuzwe wanangoja nn