INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
Ubaridi au?
Umewahi jaribu Jaza gas? Uone kama leakage au? Au ishu ni compressor?
Umewahi peleka kwa fundi yoyote wa AC akasema kitu?
Umewahi jaribu Jaza gas? Uone kama leakage au? Au ishu ni compressor?
Umewahi peleka kwa fundi yoyote wa AC akasema kitu?
Leakage
Kuvuja kwa gas kwenye Mtungi au mfumo wenyeweInakuwa kwenye nini?
Kuvuja kwa gas kwenye Mtungi au mfumo wenyewe
Ifikishe kwa mafundi A/C
Fanya diagnosis... Vinginevyo utamaliza mafundi kwa kupiga ramliFundi alisema tuchange airfilter lakini bado, naplan weekend nipeleke kwa wataalamu
Hongera, kumbe una gari,.Wakuu habari zenu.
Gari yangu ni Premio ila kuna shida naiona kwenye AC. Kuna muda AC inakuja kuna muda inakata.
Shida itakuwa ni nini?
Hapo ni compressor tuu maana hizi premeo Huwa Zina compressor ambazo hubana ndani Sasa ikifail tuu ubaridi Huwa unakuja na kukata.Badilisha compressor weka oil yake Kisha jaza gas itakuwa poa.
Kama system imeziba popote, au kama compressor au condenser fan ina fail pia shida kama hio inaweza tokea.
Umejuaje acha kuotea mamboHapo ni compressor tuu maana hizi premeo Huwa Zina compressor ambazo hubana ndani Sasa ikifail tuu ubaridi Huwa unakuja na kukata.Badilisha compressor weka oil yake Kisha jaza gas itakuwa poa.