Ac za crdb mwanza branch kero

SoNotorious

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2011
Posts
2,422
Reaction score
859
Jamani hivi hizi ac za crdb tawi la mwanza zina tatizo gani?wateja wengi na hewa ni mbaya mno,ni tatizo la mda mrefu jaman wahusika tunaomba mshughulikie hii kero maana tumechoka.
 
fungua account umoja hapo wakongwe tulikimbia viburi vya cashiers yaani mtu fedha ni yako halafu unasimama kwenye foleni masaa 3, atm zenyewe zipo chache na zote wameweka mjini na mara nyingi wakati wa jioni na weekend huwa hazina hela
 
Halafu hawa mabenker wa hapa wanapenda sana kutoa siri za wateja kuna mdada alimpa mtu no yangu ya simu nilishanga sana nilitaka kuchukua hatua lakini baadae nilipotezea.
 
Tatizo siku zote makao makuu huwa wanajijali wao tu huwa hawaoni matawi ya mikoani yanahitaji nini.Hayo ma air condition kwanza ni madogo kulingana na sehemu yenyewe halafu ni mabovu yamechoka kwa nini wasiweke air condition kubwa za kisasa zinazoweza kuhimili wingi wa wateja wanaokuja humo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…