Habarini,
Kama kichwa kisemavyo wasomi mtaani wanalalama kuhusu ajira na ukigusia swala la kujiajiri sababu inakuwa mtaji na ni kweli ukienda kwenye financial institutions nyingi ili upate mkopo vigezo vyao sio rafiki kwa mtu ambaye hana kitu.
Hoja yangu ni kwamba hamna haja ya kupendekeza academic certificate ziwe kama security wakati wa kuchukua mkopo?
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana mleta hoja hajaelewa sababu zinazopelekea kuwepo hitaji la mkopaji kuweka collateral security. Cheti ni nonsaleable hivyo mkopaji akifariki, kuwa incapacitated kwa namna yote au kughairi kulipa kwa makusudi mkopeshaji atamuuzia nani hicho cheti ili kurudisha pesa yake?Seriously? Ukishindwa kurejesha mkopo hiyo collateral (cheti) inafaa kuuzwa kurudisha hela ya watu?