Academic Perfomance ya Ephraim Kibonde..!

mndumsolo

Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
51
Reaction score
8
Habari zenu wana JF...
Naomba kwa anayejua matokeo ya Ephraim Kibonde wa Clouds FM anipatie..
Naomba matokeo ya darasa la Saba., Form 4., Form 6 na Chuo Kikuu..
Anawasakama sana waliofeli na wale ambao hawajafanya vizuri nahisi atakuwa ana matokeo mazuri sana...
Natanguliza shukrani zangu za dhati..!
 
Mbona hata hizo level za elimu unampa wewe, hicho chuo kikuu kafika lini achilia mbali performance yake.
 
Habari zenu wana JF...
Naomba kwa anayejua matokeo ya Ephraim Kibonde wa Clouds FM anipatie..
Naomba matokeo ya darasa la Saba., Form 4., Form 6 na Chuo Kikuu..
Anawasakama sana waliofeli na wale ambao hawajafanya vizuri nahisi atakuwa ana matokeo mazuri sana...
Natanguliza shukrani zangu za dhati..!

Penye nyekundu,mkuu mbona ulienda mbali sana!angekuwa ana elimu ya chuo kikuu ungeona hata upeo wa mawazo yake ungekuwa juu kidogo!!
 
Mkuu sababu ya kuyabandika chuo kikuu ilikuwa ni nini?na chuo kikuu gani kilifanya hayo?

Tabia yake ile ya kujitia kila jambo anajua kulijadili na kulitolea msimamo.
Akakanyaga maeneo ya Mlimani, Wanachuo walipo kuwa na madai yao kwa serikali juu ya posho.

Ulimi wake tu, kila kitu chake kibaya walikipata na wakaweka hazalani.
Cdhani kama atarudia kuwachezea walimtia adabu!
 
Penye nyekundu,mkuu mbona ulienda mbali sana!angekuwa ana elimu ya chuo kikuu ungeona hata upeo wa mawazo yake ungekuwa juu kidogo!!
TUKUTUKU niliweka hadi Form 6 na Chuo Kikuu sababu anaongeaga mambo yake kwa "confidence" mno hivyo nikadhani amepiga hatua kielimu na kwamba anajua anachokizungumzia...!
 
Habari zenu wana JF...
Naomba kwa anayejua matokeo ya Ephraim Kibonde wa Clouds FM anipatie..
Naomba matokeo ya darasa la Saba., Form 4., Form 6 na Chuo Kikuu..
Anawasakama sana waliofeli na wale ambao hawajafanya vizuri nahisi atakuwa ana matokeo mazuri sana...
Natanguliza shukrani zangu za dhati..!

Mimi nakupongeza sana kwa kuleta hoja nzuri sana maana itasaidia sisi kuelewa upeo wa mtu wakati tunasikiliza na kutafakari hoja zake (ndio maana kwenye website za media za nje wana bio za watangazaji wao). Lakini wakati mwingine majibu yanapatikana kwa general assessment tu ya conduct ya mtu. Jibu lako ni kwamba huyu ni mmoja wa ma celebrity wa bongo ambaye hakusoma. Ana struggle hivyo hivyo tu ku survive kwa kutumia mdomo wake.
 
Habari zenu wana JF...
Naomba kwa anayejua matokeo ya Ephraim Kibonde wa Clouds FM anipatie..
Naomba matokeo ya darasa la Saba., Form 4., Form 6 na Chuo Kikuu..
Anawasakama sana waliofeli na wale ambao hawajafanya vizuri nahisi atakuwa ana matokeo mazuri sana...
Natanguliza shukrani zangu za dhati..!

Leo jioni yeye na wale wadadaz wa jahazi walichukua kama dkk tano kujua kuna miaka ngapi toka 1994 - 2011.
Tena yy alibahatisha jibu, vidadaz vilibaki vinajiumauma tu
 
nenda kwenye mtandao wa necta utaona alivyozipanga Ds
 
Acheni kumpa umaarufu huyu CRAP, hatuhitaji kumjadiri. Bora tumjadiri adui yake SUGU
 
Ni kweli kabisa huyu jamaa kwanza amekiaharibu kipindi cha Jahazi, yeye kujifanya kujua kila kitu kuanzia siasa, uchumi,michezo,siasa za kimataifa,ukandarasi nk....haiwezekani, bora wakiwa na hoja ya msingi katika kipindi chao wakatafuta wataalam wakuchambua au hata wasikilizaji kuchangia kuliko yeye kujifanya kujua kila kitu...na wale kina dada ndio hewa kabisaaa...Jahazi sasa hivi kama mama na mwana ile ya radio tanzania enzi zile..
 
Mkuu, mbona mama na mwana kilikuwa kizuri tu, mimi nilikuwa nimeshamaliza sekondari wakati, lakini nilikuwa nakisikiliza kile kipindi nilfurahia na pia nawakumbuka sana kina Deborah Mwenda, Aloysia Maneno, Elesia Isabula na wengineo! Please usikifananishe na Jahazi!
 
Back
Top Bottom