Habari zenu wana JF...
Naomba kwa anayejua matokeo ya Ephraim Kibonde wa Clouds FM anipatie..
Naomba matokeo ya darasa la Saba., Form 4., Form 6 na Chuo Kikuu..
Anawasakama sana waliofeli na wale ambao hawajafanya vizuri nahisi atakuwa ana matokeo mazuri sana...
Natanguliza shukrani zangu za dhati..!
Mkuu sababu ya kuyabandika chuo kikuu ilikuwa ni nini?na chuo kikuu gani kilifanya hayo?Nenda chuo kikuu wameyabandika, ameishia form 4 ana d 2
Habari zenu wana JF...
Naomba kwa anayejua matokeo ya Ephraim Kibonde wa Clouds FM anipatie..
Naomba matokeo ya darasa la Saba., Form 4., Form 6 na Chuo Kikuu..
Anawasakama sana waliofeli na wale ambao hawajafanya vizuri nahisi atakuwa ana matokeo mazuri sana...
Natanguliza shukrani zangu za dhati..!
Mkuu sababu ya kuyabandika chuo kikuu ilikuwa ni nini?na chuo kikuu gani kilifanya hayo?
TUKUTUKU niliweka hadi Form 6 na Chuo Kikuu sababu anaongeaga mambo yake kwa "confidence" mno hivyo nikadhani amepiga hatua kielimu na kwamba anajua anachokizungumzia...!Penye nyekundu,mkuu mbona ulienda mbali sana!angekuwa ana elimu ya chuo kikuu ungeona hata upeo wa mawazo yake ungekuwa juu kidogo!!
Nenda chuo kikuu wameyabandika, ameishia form 4 ana d 2
Habari zenu wana JF...
Naomba kwa anayejua matokeo ya Ephraim Kibonde wa Clouds FM anipatie..
Naomba matokeo ya darasa la Saba., Form 4., Form 6 na Chuo Kikuu..
Anawasakama sana waliofeli na wale ambao hawajafanya vizuri nahisi atakuwa ana matokeo mazuri sana...
Natanguliza shukrani zangu za dhati..!
Habari zenu wana JF...
Naomba kwa anayejua matokeo ya Ephraim Kibonde wa Clouds FM anipatie..
Naomba matokeo ya darasa la Saba., Form 4., Form 6 na Chuo Kikuu..
Anawasakama sana waliofeli na wale ambao hawajafanya vizuri nahisi atakuwa ana matokeo mazuri sana...
Natanguliza shukrani zangu za dhati..!
Ni kweli kabisa huyu jamaa kwanza amekiaharibu kipindi cha Jahazi, yeye kujifanya kujua kila kitu kuanzia siasa, uchumi,michezo,siasa za kimataifa,ukandarasi nk....haiwezekani, bora wakiwa na hoja ya msingi katika kipindi chao wakatafuta wataalam wakuchambua au hata wasikilizaji kuchangia kuliko yeye kujifanya kujua kila kitu...na wale kina dada ndio hewa kabisaaa...Jahazi sasa hivi kama mama na mwana ile ya radio tanzania enzi zile..