Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
Kila leo watu mnavutana kuhusu vyuo bora vya elimu duniani! Oh mara TEKU, sijui Makumira, oh sijui MUCCOBS, SUA, Mzumbe, SAUT, UDOM, Tumaini, sijui Lushoto! Sijui nini! Sasa angalia hizi rankings na tafuta nafasi ya chuo chako:
1. Academic Ranking of World Universities - 2013| Top 500 universities | Shanghai Ranking - 2013 | World University Ranking - 2013
2. World University Rankings 2013-2014 - Times Higher Education
3. Reputation rankings: World Reputation Rankings 2014 - Times Higher Education
shikamooni wakuu mi naomba msaada wenu napenda sana nipate schoralship ya kusoma masters mwakani 2015 lakini nimefuatilia nyingi zinataka mtu aliye kuwa mzoefu na kazi si chini ya miaka miwili na me ndio namalizia degree mwaka huu nifanyaje ushauli wenu tafadhali 0764916825