Academic site kwa wanafunzi na walimu

Academic site kwa wanafunzi na walimu

fredie92

Senior Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
133
Reaction score
32
Ndugu wana jf!!!

kwa walimu na wanafunzi, sasa unaweza kujiunga na academic site (Gigavia: Connecting people in a giga way!)...

faida ni nyingi sana,
1. mwalimu anaweza akatengeneza darasa na kutoa assignment
2. easy sharing of books, notes etc
3. kutana na mentors na unaweza ukaapply kama mentor
4. tengeneza institutional account ya chuo au shule yako....
5. chat with friends na mengine mengiiiiii

sihitaji kuielezea sana... jiunge na ujionee utofauti ndani ya hiyo site....

Karibuni....
 
Back
Top Bottom