CCM hawana huruma mkuu. Nakumbuka wale mawakala wa UKAWA waliokamatwa wakijumlisha matokeo ya urais nchi nzima (Tallying center) walifungiwa kuajiriwa serikalini au kusoma vyuo vya Tanzania MILELE!! yaani walikua blacklisted indefinitely
Ametisha nini?Leo tujadili ugwiji wa miamba hii miwili; Asha Rose Migiro first class ya law UDSM na Mnyika TO Tanzania. Nani ametisha
Mnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu
USSR
wewe na migiro nani mwenye akili timamu?Hebu kuwa na nidhamu kwanza, hivi unamjua huyo Mama Migiro au unaleta siasa zako za majitaka tu hapa. Huyk CV yake imeshiba hana elimu ya kubabaisha
Ni upi mchango wake kwa taifa Zaidi ya uchawa tu kwa aliefeli form four?First class ya UDSM usifananishe na hiyo takataka ya CHADEMA.