Accelerator Kukwama kwama

Accelerator Kukwama kwama

Mogu

New Member
Joined
Jan 4, 2021
Posts
4
Reaction score
4
Wakuu msaada tutani, accelerator kuna kipindi inakwama kukanyagika, hasa baada ya kutoka kukanyagia mwendo kiasi, ukiachia ili upige pulling tena inabaki kwa juu mpaka uipige pige na mguu mara kadhaa. Tatizo ni nini
 
Back
Top Bottom