M Mogu New Member Joined Jan 4, 2021 Posts 4 Reaction score 4 Jul 23, 2022 #1 Wakuu msaada tutani, accelerator kuna kipindi inakwama kukanyagika, hasa baada ya kutoka kukanyagia mwendo kiasi, ukiachia ili upige pulling tena inabaki kwa juu mpaka uipige pige na mguu mara kadhaa. Tatizo ni nini
Wakuu msaada tutani, accelerator kuna kipindi inakwama kukanyagika, hasa baada ya kutoka kukanyagia mwendo kiasi, ukiachia ili upige pulling tena inabaki kwa juu mpaka uipige pige na mguu mara kadhaa. Tatizo ni nini
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jul 24, 2022 #2 Acha ujinga peleka gari garage.