Accent iliyotumika kwenye 24 series ni ya wapi?

Sheillah Sheillah

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2020
Posts
653
Reaction score
1,698
Habari?
Naangalia series ya 24, nipo episode ya kwanza season 1. Nashindwa kuelewa hawa watu wanaongea accent ya wapi ngumu namna hii.
Kuna mwingine amekutana na hili?
 
Plot ya season 1 (day one) si imesetiwa California mkuu au english yao ndio imefanya usiwaelewe. Kidogo huku day 4 ndio kuna Arabic accent za behrouz Araz na familia yake.
Umekutana na accent ya Gru??🤣🤣
 
Plot ya season 1 (day one) si imesetiwa California mkuu au english yao ndio imefanya usiwaelewe. Kidogo huku day 4 ndio kuna Arabic accent za behrouz Araz na familia yake.
Umekutana na accent ya Gru??[emoji1787][emoji1787]
Hii sidhani kama ni accent ya America kabisa.
Kwa mara ya kwanza nahitaji subtitles kuelewa hii series.
 
Sheillah Wala nisikuzonge Kama mronge! Nimekuzimikia kipenzi!.. nataka nikufanye wa enzi si tu tufanye mapenzi Bali tufanye ujenzi wa mapenzi ya kenzy na sheillar!.. wasemaje mahabuba mwenye vipini visivyoruba..?[emoji6]
Hujaacha ufisi tu wew[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…