What!!!
kwani ume-sign mkataba kwa kazi gani?
Mkuu, fanya hivi, when you rate yourself that low, people will take you for a ride!
Dont accept upumbavu wa namna hiyo!
Kama ulijua aina ya kazi hapo sawa, kwasababu unaweza kutumia ACCESS BANK kama Address ya kuondokea, otherwise usikubali huo upuuzi!
Aliyekuambia usign hiyo karatasi yao nani? Achana na Accessbank wababaishaji sana hao pimbu......Ni bora uuze mananasi kuliko kupoteza muda hapo kwanza unaidhalilisha elimu yako pasipo wewe kufahamu be carefully ndugu.
pole mkuu.
Ntakutafuta kwa private issue!
Jamani,mwenzenu nliitwa interview ya CASHIER J5 hii na Jana nikaitwa kuanza kazi,Niliexpect kutakuwa na training flani kwa ajili ya hii kazi,ila walichonifanyia ni kunipa buku(1000/=) na kunambia niende kigamboni kutafuta wateja,hii leo nipo tandika na nimepewa tena buku........najiuliza mimi ni CASHIER au LOAN OFFICER jibu silipati.........kwa kweli kazi imenishinda bora nirudi kijiwe.......sijaona tofauti yao na X-MARKETING.Mshahara niliosaign kwa level yangu ya degree ni laki moja nusu kwa mwezi.....
Pole sana mkuu.Vumilia tu kama huna kazi nyingine.Sasa hiyo buku dah sipati picha.
tukiwaambia muwe wajasiriamali hamtaki..ona mnavyochoreshwa!
we naona unamawazo ya mgando mpaka kichefuchefu........UJASIRIAMALI mtaji napata kwa BABA YAKO?????????