Access bank interview

Man Ngosha

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
219
Reaction score
69
Habari wadau wa Jf!!
Nimetumiwa sms juu ya uwepo wa interview ya Accessbank itakayofanyika Msimbazi Centre Ijumaa saa 1:30 PM je ni kuna mwingine aliyepata ujumbe huu?nataka kuhakiki manake isije ikawa mchezo wa mtu manake ilishanitokea hapo awali!!
Naomba kuwasilisha wadau!!
 
Haya mambo ya kutumiwa sms huwa siyaamini Access bank hawaafulia kiasi icho usikute ni uhuni wa secretary tuu!
Kama ni kweli siku ya interview uawaulize kama ndo mfumo wao au ni makosa ya mtu.
Ila kama ni wahindi siwezi shangaa
 
Nahisi ni kweli mdau hata mimi nimetumiwa ila mimi nimeambiwa saa nne na nusu..So i gues its real!!!




 
mzee ushawahi tuma maombi ya kazi lakini?? kama vp jotokelezee hadi maofisin kwao kahakikishe..
 
Ndio,ni hizi micro loan officer,client advisors na cashier walizotangaza juz juz
 
kweli mkuu, na hata mimi nimetumiwa sms sasa mdau nami nilituma kwenye hiyo mambo
 

Wanatuma sms hii nayo kali ya mwaka.Hebu call hiyo namba na uliza kinachoendelea upate uhakika.
 
nawatakia kila la kheri wote mlioitwa
mungu awatangulie nyote mpate kazi ndugu zangu
 
Mi mwenyewe nimetumiwa tutakutana kesho saa 4 asubuhi.
 
Wanatuma sms hii nayo kali ya mwaka.Hebu call hiyo namba na uliza kinachoendelea upate uhakika.

kaka acha kukomplicate mambo km wapinzani bana...suala la sms kwa taarifa yako cku hizi ni kawaida sana.we unadhan kwa mitandao ya bongo inavyosumbua ipi ni bora sms ama col?hata NSSF walifnya hvyohvyo.
 
sio ajabu , mbona NSSF kipindi kile walikuwa wanatuma SMS pia
 
ni kazi zipi hizo wameita watu??....maana hawa jamaa wanatangaza kazi almost kila mwezi!
 
Umeamini sasa!!
Kama meseji ni kitu cha muhimu eeh! Watu zaidi ya elfu 1000 wote kuwapigia simu si masihala!! ndo mana kuna hizi push mobile ambao wana huduma ya kutuma Mesage nyingi at par.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…