mwana mpendwa
Senior Member
- Oct 6, 2012
- 171
- 20
utakuwa umesahau na application letter ndugu yangu. Vp umepata tetesi huwa wanatoa hesabu gani?Asante mdau kwa kutoa taarifa hii, hata mimi nlipigiwa simu alhamis iliyopta niende ktk interviwe Mwanza, nmeambiwa nibebe calculator, passport sizze moja, cv na academic copies. MTAZAMO WANGU KHS VITU VYA MSINGI: vision (goal), mission yao, why apply for acess bank, your impact to the organization. Chek website yao angalau upate abc zao
unatakiwa kuwa na moyo wa bati kufanya kazi na access
utakuwa umesahau na application letter ndugu yangu. Vp umepata tetesi huwa wanatoa hesabu gani?
Thanx a million!!!!! kwa kunikumbusha best, bado sina tetesi yoyote khs hesabu watakazotoa, nahisi ni general maths/knowledge
kivipi Narubongo.......hebu toa sababu tafadhali
Kwa wale mnaojiandaa na written interview ya Access bank wala hata usiumize sana kichwa. Ni maswali ya kawaida sana na si ya kihasibu kiasi hicho.
Mara nyingi jamaa huwa wanachukua watu wa kuanza nao kama loan officers, kwa hiyo kama ndo wanafungua tawi Mwanza maana yake wanahitaji loan officers tu, na position hiyo ni bachelor degree in any field, so wanachouliza ni vijihesabu vidogo tu vya kawaida sana na mtu yeyote anaweza kufanya akafanikiwa. Mimi nilihudhuria interview yao ndo nilikuwa nimemaliza chuo (computer engineering) nilifanya interview na nikafanikiwa kuajiriwa niliacha kazi hiyo baada ya kupata kazi ambayo kidogo inaendana na kile nilichokisoma. Kwa hiyo mtu yeyote asiogope kabisa. Interview ni ya kawaida sana na huwa ni tatu. Ya kwanza ni written, ya pili oral na ya tatu ni kumalizia mambo ya malipo n.k. Baada ya hapo utaingia kwenye training ya wiki tatu au nne na utafanya mtihani baada ya hiyo training, kama ukiufanya vizuri ndipo utapewa mkataba wa kazi.
Nawakieni nyote mlioitwa kwenye interview kila la heri
Thanks