MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
You must be joking...Ishakula kwakooo...Access bank baada ya kusumbuana kwa muda mrefu hatimaye wameachia mkopo,wadau leo mpaka Jumamoosi nitakuwa Sinza naclear mind kabla ya kuanza biashara rasmi,hapo Sinza baa ipi ina wahudumu na watoto wakali wasiopenda makuu?
Umenichekesha sana mkuu....Access bank baada ya kusumbuana kwa muda mrefu hatimaye wameachia mkopo,wadau leo mpaka Jumamoosi nitakuwa Sinza naclear mind kabla ya kuanza biashara rasmi,hapo Sinza baa ipi ina wahudumu na watoto wakali wasiopenda makuu?
Jamaa hatari anaunganisha episode tuWe mkuu siyo bure unanyota ya ucomedian..ulinza kwenda Iceland kuoa, ukaja na ishu ya kubikiri kule Malawi...Jana ulitaka kufyatua wa 6...leo unakwenda kubikiri mkopo wa bank..Anyway kila la kheri ila kuwa makini isije ikawa zamu yako.
Nasubiri episode ijayo ''jinsi bank walivyofyatua assets zake bila ulainisho''.Jamaa hatari anaunganisha episode tu