Access bank wamenipa mkopo, msaada baa ipi Sinza ina wanawake wakali?

MSAGA SUMU njoo huku kwetu Nkasi - Rukwa kuna watoto wa uhakika hebu badilisha mazingira ya kila siku Dasilamu njoo huku uone mambo, naamini mkopo huo ni pesa ya kutosha unaweza kusafiri, kunywa, kula na hata kuwapa vifuta jasho hao warembo😀
 
Njoo hapa Mabibo External.. Kuna kiwanja kipya nadhani panaitwa London bridge.. Pana mbuzi watamu pale hutojutia matumizi ya mkopo wako katu...
 
hahahah! mkopo bwana! msaga thumu saivi anapiga bajeti ya kusaga mkopo

mkuu MSAGA SUMU utaki assistant kweny iyo hafla ya ku clear mind??
 
Access bank baada ya kusumbuana kwa muda mrefu hatimaye wameachia mkopo,wadau leo mpaka Jumamoosi nitakuwa Sinza naclear mind kabla ya kuanza biashara rasmi,hapo Sinza baa ipi ina wahudumu na watoto wakali wasiopenda makuu?
HAMNAZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…