miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
naomba nije kupata mbili baridi nasafisha koo tuPo
poa poa chief,ntakupm
Haa haa,ntakushtua tukianza kutafutana na bank mkuuHa ha ha ha ha die alone
Unasema mkopo au
Mama unataka kunipa kampani nn?mm sio mchoyo nakula na wenzanguShs ngapi?
Miss chagga hauchelewi kuagiza mbege haah haa,karbu bhana lkn usimwambie mtu natumia mkoponaomba nije kupata mbili baridi nasafisha koo tu
Hahahaah usawa huu ucheze Na mkopo.! Unafurahisha tu jukwaaAccess bank baada ya kusumbuana kwa muda mrefu hatimaye wameachia mkopo,wadau leo mpaka Jumamoosi nitakuwa Sinza naclear mind kabla ya kuanza biashara rasmi,hapo Sinza baa ipi ina wahudumu na watoto wakali wasiopenda makuu?
mimi sisemi mi nakuja kunywa tu na kutumwa kumwita muhudumuMiss chagga hauchelewi kuagiza mbege haah haa,karbu bhana lkn usimwambie mtu natumia mkopo
Wwe c mzimaAccess bank baada ya kusumbuana kwa muda mrefu hatimaye wameachia mkopo,wadau leo mpaka Jumamoosi nitakuwa Sinza naclear mind kabla ya kuanza biashara rasmi,hapo Sinza baa ipi ina wahudumu na watoto wakali wasiopenda makuu?
Access bank baada ya kusumbuana kwa muda mrefu hatimaye wameachia mkopo,wadau leo mpaka Jumamoosi nitakuwa Sinza naclear mind kabla ya kuanza biashara rasmi,hapo Sinza baa ipi ina wahudumu na watoto wakali wasiopenda makuu?
Asante kwa taarifa...Ni LONDON Lounge
Haaha napenda watu wa aina yako ,aiseee karbu sana miss chaggamimi sisemi mi nakuja kunywa tu na kutumwa kumwita muhudumu
Access bank baada ya kusumbuana kwa muda mrefu hatimaye wameachia mkopo,wadau leo mpaka Jumamoosi nitakuwa Sinza naclear mind kabla ya kuanza biashara rasmi,hapo Sinza baa ipi ina wahudumu na watoto wakali wasiopenda makuu?
yap ni pale kwa Sinza kwa RemmyTafuta nyumba iliyoandikwa "Kuna Mbwa Wakali" ingia humo ndo baa kuna mademu wakali.
Utarudishaje mkopo?Access bank baada ya kusumbuana kwa muda mrefu hatimaye wameachia mkopo,wadau leo mpaka Jumamoosi nitakuwa Sinza naclear mind kabla ya kuanza biashara rasmi,hapo Sinza baa ipi ina wahudumu na watoto wakali wasiopenda makuu?
kumekucha papo poasanaAccess bank baada ya kusumbuana kwa muda mrefu hatimaye wameachia mkopo,wadau leo mpaka Jumamoosi nitakuwa Sinza naclear mind kabla ya kuanza biashara rasmi,hapo Sinza baa ipi ina wahudumu na watoto wakali wasiopenda makuu?
Utarudishaje mkopo?
sio uZinzi mkuu,nagawana na wenzangu hiki kidogo nilichopataepuka uzinzi ndg