D dbrane Member Joined Jul 23, 2012 Posts 31 Reaction score 5 Nov 1, 2012 #1 wanajamvi, vp kuna any newz on access bank mwanza. Maanake nipo kizan sijui liendelealo. Mwenye kujua lolote anijuze. Nawasilisha....
wanajamvi, vp kuna any newz on access bank mwanza. Maanake nipo kizan sijui liendelealo. Mwenye kujua lolote anijuze. Nawasilisha....
Niwemugizi JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 902 Reaction score 462 Nov 1, 2012 #2 Nani anakujua huko, Mungu ndo muweza wa yote wewe piga moyo konde
M mwana mpendwa Senior Member Joined Oct 6, 2012 Posts 171 Reaction score 20 Nov 2, 2012 #3 wameita kwa batch nadhan 2. Ya kwanza wanaanza training tarehe 26 Nov na batch ya pili inaanza mwezi march. Bt mpaka jana walikuwa wanaita kwa wale wa batch ya 2.
wameita kwa batch nadhan 2. Ya kwanza wanaanza training tarehe 26 Nov na batch ya pili inaanza mwezi march. Bt mpaka jana walikuwa wanaita kwa wale wa batch ya 2.