Pole sana binamu. Kwa hiyo tangu Ijumaa hujala chakula cha usiku au kuna mapoozeo mitaa ya kati. We mwache abane, ataachia mwenyewe zikimshuka.
Pole sana binamu. Kwa hiyo tangu Ijumaa hujala chakula cha usiku au kuna mapoozeo mitaa ya kati. We mwache abane, ataachia mwenyewe zikimshuka.
Vunjeni ukimya.
Mawasiliano yataleta hali ya kawaida...Shida huja kwasababu kila mtu anamnunia mwenzio, hivyo amani kutoweka, na wewe ndo uliyeanzisha shida hiyo kwa kupitia mitaa ya kati bila kumstua mwandani wako!
Mwombe msamaha atakuelewa na kulegeza masharti!
Mitaa ya kati ninapooza mpwa ila unajua kulala kitanda kimoja na mtoto wa kike halafu usimpatie ile kitu inakera. Nilifikiria kumchunia lakini nimegundua nikimwacha atanikamata mchezo wangu wa kupitia mashoga zake.
Hahaha! Mpwa bana! Sishangai bimkubwa kukuchunia kama unamkandamizia mpaka mashosti zake. Nilijaribugi siku moja, sitarudia tena. Huo msala wake balaa.
Wandugu mwenzenu nina situation, mpenzi wangu wa moyo ameanzisha mgomo baridi toka last week saturday. Kifupi access yangu kwenye ile starehe yetu amei deny. Kisa ni kuwa nilipotoka ijumaa kazini nilipitia viwanja nikajisahau kumwambia hadi nilipo rudi saa tisa usiku,mwenzangu alinichunia tu na wala hakuonesha kukasirika ila tangu siku hiyo nanyimwa live tena saa ya kulala huwa anjipigilia nguo za kutosha. Sina shida sana na ile kitu kwani nina uhakika wa kupata hata kila siku ila najisikia kudhalilishwa kijinsia kulala na mtoto wa kike bila ku access ile kitu.
Kama unamzunguka mwenzio kwa ku-do na mashoga zake wewe hufai, na usirudie maana unaonekana kujisifia kwa uchafu wako huo. Kwani unapata nini zaidi kama sio kuhatarisha maisha ya mwenzio. Nayeye aki-do na marafiki zako itakuaye?. Akijua unastahili adhabu zaidi ya hiyo. Naomba ubadilike usitufanye wanaume tuonekane wabaya.
sio dogo lakini pia si kubwa kiasi cha kuniadhibu adhabu hiyo, alitakiwa hata anifungie mlango nilale garden au hata anichunie sikumbili sio kunipa likizo.
sio dogo lakini pia si kubwa kiasi cha kuniadhibu adhabu hiyo, alitakiwa hata anifungie mlango nilale garden au hata anichunie sikumbili sio kunipa likizo.