Kamanda mbembeleze tu, mwanamke anahitaji kubembelezwa, huko kununa anajaribu kukupima ni kiasi gani unamjali au unamhitaji, mwanaume lazima uwe na sense of humor bana, ukikuta mkeo kanuna, mpige BUSU ktk lipsi zake, au shavuni, mpe HUG ya nguvu, najua atajidai kama vile hataki lkn moyoni atajisikia vizuri sana, usiishie hapo, Km kuna juice au maji kwenye friji au hata kama anakunywa mletee kinywaji kwenye glass huku uki apologise na kumuuliza inakuwaje darling mbona umenuna hivi?, km mpo room, mpe mpe vjijimaneno vya love, najua ataendelea kukataa lkn moyoni kwake atakuwana faraja ya ajabu. ikifika mida ya kuoga mwekee maji, au mwogeshe mwenyewe, mida ya kula mpakulie chakula, au mtoe outing sehemu ile anayoipenda au mpeleke ka shopping kadogo tuu, itafika mida utaona anacheka mwenyewe, utasikia lkn uliniuzi wewe!!!!!, hapo ujue yameisha na furaha itajaa moyoni mwake, asikudanganye mtu kumega nje sio JIBU mkuu. Kuna jamaa kama wewe alimega mpaka rafiki za wife wake, wife akashtukia hakumwambia mchizi alichofanya yeye akaamua KUZAA kabsaa na rafiki wa mmewe wa karibu na huyo jamaa hakujua mpaka walipotengana. After all wewe ndo mkosaji, na wala usione kama u wanaume wako unadhalilika, mbona mkiwa huko nje mnakomega mnanyenyekea sana? hata ukiambiwa nnashida ya kodi ya nyumba, ada ya shule, na vinginevyo vingi mnajilipua tu? siku mkeo akikubana na nyumba ndogo inakuhitaji na hujaenda, siku ukienda mbona mnaomba sana misamaha hata kwa ahadi na magoti, PLSE BE A MAN BANA.