Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 462
Wewe ni mtanzania? na unaishi wapi mkuu nakuonea huruma sana una mawazo ya kizamani sana JF hii inafanyakazi yakuelimisha watu lakini naona bado watu hawajaitumia au hajui malengo ya wana JF sisi tuliyopo nje tunatamani kurudi wewe ndo kwanza unataka kutafuta maisha ya kutumwa nenda kijijini mwaka utaona matunda ya tanzania baada ya miaka miwilitu utarudi mjini kuuza nyago tafuta ushauri lakini kama unataka kwenda kanada nenda utaikumbuka bongo kwa muda mfupi sana na hutoweza kurudi na ukirudi itakuwa umesha poteza sana muda ushauri wangu tafuta chakufanya huko kama unaelim tumia elim uliyo nayo fanya kazi yako binafsi uiajiriwe

panalipa mbona nyie mmekimbia na hamurudi??acheni wivu wa kibwege nyie mpeni mwenzenu idea nae akajaribu bahati,kwani nyie mliendaje??nyie ndio mnaowachomaga wabongo wenzenu huko ughaibuni warudishwe:usa2:ni kweli atapoteza muda wake bure man!!!mimi mwenyewe simshauri atoke bongo kama ana elimu yake hapohapo bongo panalipa cha muhimu ni kujiamini na kua na plan inayofaa!
panalipa mbona nyie mmekimbia na hamurudi??acheni wivu wa kibwege nyie mpeni mwenzenu idea nae akajaribu bahati,kwani nyie mliendaje??nyie ndio mnaowachomaga wabongo wenzenu huko ughaibuni warudishwe:usa2:
You can apply to immigrate to Canada under any of the following Three classes, provided you qualify. However Option 2, and 3 favuor pple who are already in the country working, and or students with Canadian Education (graduated within the country)
1.Skilled workers and professionals
Skilled workers are selected as permanent residents based on their education, work experience, knowledge of English and/or French, and other criteria that have been shown to help them become economically established in Canada.
Immigrating to Canada: Skilled workers and professionals
2.Canadian Experience Class
This is fora temporary foreign worker (already in canada)or a foreign student who graduated in Canada.
Canadian Experience Class
3.Provincial nominees
Most provinces in Canada have an agreement with the Government of Canada that allows them to nominate immigrants who wish to settle in that province. If you choose to immigrate to Canada as a provincial nominee, you must first apply to the province where you wish to settle and complete its provincial nomination process.
Provincial nominees - Who can apply
For the Skilled Worke, you will require a min of 67 points to qualify. The link
below is a self assessment tool that can be used to determin this
Skilled Worker Online Self-Assessment - Education
Hope this is helpful and Good luck!
babu umeniwahi! Yaani watz bwana.
Badala hata wamwambie faida na hasara zake wanajifanya kuponda na wakati wenyewe wameng'ang'ana huko huko.
Sio mpango huo.
You can apply to immigrate to Canada under any of the following Three classes, provided you qualify. However Option 2, and 3 favuor pple who are already in the country working, and or students with Canadian Education (graduated within the country)
1.Skilled workers and professionals
Skilled workers are selected as permanent residents based on their education, work experience, knowledge of English and/or French, and other criteria that have been shown to help them become economically established in Canada.
Immigrating to Canada: Skilled workers and professionals
2.Canadian Experience Class
This is fora temporary foreign worker (already in canada)or a foreign student who graduated in Canada.
Canadian Experience Class
3.Provincial nominees
Most provinces in Canada have an agreement with the Government of Canada that allows them to nominate immigrants who wish to settle in that province. If you choose to immigrate to Canada as a provincial nominee, you must first apply to the province where you wish to settle and complete its provincial nomination process.
Provincial nominees - Who can apply
For the Skilled Worke, you will require a min of 67 points to qualify. The link
below is a self assessment tool that can be used to determin this
Skilled Worker Online Self-Assessment - Education
Hope this is helpful and Good luck!
Habarini wanajamvi.... Nasikia kwa sasa Canada ndio nchi pekee inayolipa kuishi na kujiendeleza kijasiriamali.... Kwa sababu Canada its the 2nd largest country in the world with less population which leads to many opportunities of work na vibarua.....
Sasa naombeni tusaidiane kwa more information kuhusu upatikanaji wake wa uraia, access to the country, kazi zipi zipo around kwa wajasiriamali, mji gani ni cheap kwa kuishi na kujiendeleza, living cost and other expenses. Tukipata mtu aliyeoko Canada ni vizuri zaidi atujuze wanajamvi tujue tukimbilie wapi mana Bongo mambo vagaranti.............
Mkuu Robinhood, usikatishwe tamaa na yoyote yule, kama umeamua kuitafuta Canada basi funga buti, ila tu inatakiwa uwe na moyo wa hali juu. Kwanza VISA ya Canada inatoka kwa mbinde haswa, kwa hiyo inabidi ujikamilishe (documents) kabla ya kuanza hilo sakata. Pili, endapo utafanyikiwa, basi uende huko na uvumilivu wa hali juu, kwani inachukuwa muda mrefu sana kuingia kwenye SYSTEM (Intergration). Watu wengi wametoka walikotoka na PROFESSION zao laini wanapofika Canada wanaishia kuwa madreva TAXI au wabeba box. Tatu, hakuna mambo ya tiki-taka huko, kilo kitu ni kwenye mstari; ulipaji kodi, kufuata sheria za nchi, na kazi. Na mwisho kabisa, Hali ya hewa ni noma; wakati wa winter hali ya hewa huwa inateremka mpaka -35 degree (below zero), huo mziki usikie hivyo hivyo.
Vinginevyo, good luck.
panalipa mbona nyie mmekimbia na hamurudi??acheni wivu wa kibwege nyie mpeni mwenzenu idea nae akajaribu bahati,kwani nyie mliendaje??nyie ndio mnaowachomaga wabongo wenzenu huko ughaibuni warudishwe:usa2:
kwa usengge huu wa tanzania mkuu ukipata chanel nistue nikujoin...
Asanteni wadau bora muongee ninyi, mtu naomba muongozo nijikwamue, afu akina KASOPA wanakurupuka na kuongea mzaha:blah: