Mtoa mada ameshapata michango mizuri kabisa. Ni maoni mchanganyiko lakini anatakiwa ayatafakari yote. Huku Canada fedha inapatikana lakini matumizi yapo juu pia kodi na diduction zingine vinaumiza sana. Lakini sio mbaya sana ukiwa na discipline ya matimizi saving inapatikana. Suala weather pia unatakiwa ulitilie maanani - sio mchezo hii hali ya hewa hapa ni mbaya mno!!
Kama unasifa zote, kupitia experience class unaweza ukapata hiyo Permanent Residence, ila inachukua muda mrefu saana. Inaweza ikakuchukua miaka mitatu mpaka mitano kuipata haswa kwa Regional Office ya Canada ambayo ni Nairobi. Nairobi is the worst Canadian Immigration office in the World. Good Luck!!!