Accident in Abu Dhabi

Thats scary, nini kimesababisha ajali ya magari yote hayo?
 
duh, mambo ya motorways nini? imagine wote katika 4lanes mmekanyaga bati 70 mph halafu mbele yenu mnakutana na gari limeharibika!... si ndio wote mnaingiana kama hivyo!?
 
May the souls of the faithful departed rest in Peace.Amen
 
uthaifu wa zima moto na uokozi lipo nchi nyingi kumbe. Hapo ndipo tunapoona umuhimu wa sekta binafsi ktk masuala ya uokozi kama ilivyo kwetu Bongo nadhani Knight Support, Ultimate Security nk wangepigana kiume kama ile ya Ubungo (Songas).

Tunachoweza kujifunza ni kwamba, vikosi vya uokozi na zimamoto vinatakiwa kuwa macho muda wote.
 
Wenye takwimu za ajali duniani watuambie hii ajali inachukua nafasi ya ngapi.
 
.......interuption........kuna Ajali Imetokea Maeneo Ya Victoria ....!
 
IT WAS IN THE MORNING AROUND SAA TATU/NNE.... KAMA UNATOKA VICTORIA PETROL STATION AHEAD KUNA SEHEMU WANAUZA MAGARI...(nikiwa kwenye gari passing) i saw two cars in either sides of the road....both badly damaged with a lot of people around.....i had not witnessed more than than cause i was on a transport.....anybody with picture or more details concerning the issue....!?
 
Hizo njemba zimekaa hapo bila wasi wasi!...hazijui huo moshi unaweza kuwaletea athari kubwa katika afya zao.
 
Hizo njemba zimekaa hapo bila wasi wasi!...hazijui huo moshi unaweza kuwaletea athari kubwa katika afya zao.
HAWANA TOFAUTI NA SISI KWENYE TUKIO BALAA BADALA YA KUKIMBIA TUNAKIMBILIA PASIPO KUTOA MSAADA WOWOTE....! INGEKUWA HERI KAMA UNAKIMBILIA KUTOA MSAADA THEN UKADHURIKA KATIKA KUTOA MSAADA TUTAKUITA SHUJAA.........!
"LWAKAREHE DIED WHILE SAVING HIS PUPILS....(Bunge Primary teacher in 1989 or1990)AFANDE SOLOMON.....(ubungo cash robbery incidence) NA YULE MWINGINE WAKATI UBUNGO (songas?)PANAUNGUA ALIENDA IN PERSON KUFUNGA KOKI WAKATI ENEO LIPO ON FIRE.....! AND WENGINE WENGI.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…