M Mpigaji JF-Expert Member Joined Feb 6, 2011 Posts 384 Reaction score 42 Oct 27, 2012 #1 Wadau kwa yeyote mwenye taarifa za mahali pa kuishi kwa wanafunzi wa GRADUATE STUDIES anijuze,
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 591 Oct 27, 2012 #2 mkuu UDOM hostels za kumwaga hadi vyumba vinabaki wazi.
tatanyengo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 1,133 Reaction score 280 Oct 27, 2012 #3 Mpigaji said: Wadau kwa yeyote mwenye taarifa za mahali pa kuishi kwa wanafunzi wa GRADUATE STUDIES anijuze, Click to expand... Ulishawahi kufika ukakoswa sehemu ya kuishi? Huko makao ni mengi ya kumwaga.
Mpigaji said: Wadau kwa yeyote mwenye taarifa za mahali pa kuishi kwa wanafunzi wa GRADUATE STUDIES anijuze, Click to expand... Ulishawahi kufika ukakoswa sehemu ya kuishi? Huko makao ni mengi ya kumwaga.
B BARAHUKWA Member Joined Oct 26, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Oct 27, 2012 #4 Udom vyumba vimejaa tatzo hujaspecify college unakoenda.km ni COED block S ipo kwa ajili yako