Yenu moja ya kipekee ni ya mkopo pia.Unaongelea za mkopo au nini ?? ππ
sielewi ii ishu ya air tanzania. Kwani ni ndege ngapi mmeagiza?Hawatapita hapa
4 sio tatu.. Tatu tayari Q400... bado Cs300 2 na Boeing 2Hii ikija watakuwa na 3 weeks national holiday.
Tofauti ni kuwa Kenya ndege sio zenu Tanzania ndege ni zao 100%..Kutoka google air tanzania ina ndege 4 na air kenya 9 sasa kazi kwa air tz kufikia air kenya alafu baadae jambo jet.. . Kabla ya kufika champions league sijui karne gani miujiza ikitendeka. Kila la heri ndugu wapendwa.
Ni kiingereza huelewi ama ni ujinga umejaza kichwani? Nani kaongelea namba ya ndege?ππππ4 sio tatu.. Tatu tayari Q400... bado Cs300 2 na Boeing 2
What size r those aircrafts since Air Excel, Auric not Coastal have plenty of aircraft but majority 6-10 PAX! Hide ur stupidity my friend since all of Air Tanzania's Q400 take over 76 PAX each!samahani air tz na jambo jet zote zina ndege 4 kulingana na mitandao.. .inakaa Air Kenya ni bab kubwa na ndege 9