Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
ongea vizuri wewe ueleweke!Kenya airways KQ tutabonga ishu yao pamoja na ethiopian, qatar, egytair, emirates etc.
bongo lala subiriongea vizuri wewe ueleweke!
Barabara na Reli fedha yake ipo na inafanya miradi mfano SGR,Arusha bypass,babati-Kondoa,Kidatu-Ifakara n.kTungedeal na barabara za lami pamoja na reli hizi fedha zingetupeleka mbali mno!
Mungu mkubwa kutupatia Rais huyuIt takes about 20 days to assemble. I have a feeling it will be delivered before the Bombardier CS300.
(http://imgur.com/QDu31Fu)
Umeona yaani hadi rahaTwiga karudi angani ndani ya miaka takribani miwili
Toa Kiranga chako hapaBombardier imekufa Mwanza huko mwezisasa, mmesikia?
Hujajibu swali.Toa Kiranga chako hapa
OK...... Haijafa ni uzushi tuHujajibu swali.
Nini ni uzushi? Kwamba haijafa au haiko Mwanza mwezi?OK...... Haijafa ni uzushi tu
Vyote viwili MkuuNini ni uzushi? Kwamba haijafa au haiko Mwanza mwezi?