Account ya Dr Kigwangalla inapush X Token ambayo ni scam, kimbieni kama pi Network.

Account ya Dr Kigwangalla inapush X Token ambayo ni scam, kimbieni kama pi Network.

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043

View: https://x.com/HKigwangalla/status/1893226663623762175

Wadau X Token zipo nyingi sana ila asilimia kubwa ni scam, jambo lakutambua ni kuwa Musk Hana Token yeyote inayoitwa XToken, msije mkajichanganya.

Screenshot_20250222-130656.jpg
Screenshot_20250222-130806.jpg


Kwa mujibu wa Grok Musk Hana Token yeyote inayoitwa x Token.
 
Pi jana ilikuwa 0.6, kwa sasa hivi imepaa mpaka 1.4,, tununue mazee
 
Back
Top Bottom