emmalionaire
Member
- Nov 4, 2015
- 9
- 0
Mwenye account ya playstore ambayo haitumiii aniuzie natoa cash TSH 80,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ujiinge aisee,mbona simple tu na pesa hiyo chengi inabaki
We Jamaa ni buree aisee,crear email nyingine ,open browse uingie ujisajili,mbona simple sana aisee,mid ninazo tatu na naiztumia kwa laptop moja.
We Jamaa ni buree aisee,crear email nyingine ,open browse uingie ujisajili,mbona simple sana aisee,mid ninazo tatu na naiztumia kwa laptop moja.
Unafungiwa ?? Kwa sababu gani unafubgiwa ?? Usikute unaplace app ambazo sio,aiseeBosss nimeshafungiwa mpk nimepoteza hesabu so naona bora kutoa 80k kuliko $25 ambazo watafunga tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafungiwa ?? Kwa sababu gani unafubgiwa ?? Usikute unaplace app ambazo sio,aisee
Sababu inakuwa multiple accounts boss
So the only option niliyo nayo nikununua tyuu tena yenye ina muda kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app