Account ya PayPal kwaajili ya kuhifadhi pesa na malipo tu

Account ya PayPal kwaajili ya kuhifadhi pesa na malipo tu

Jovanny hm

Member
Joined
Jun 5, 2019
Posts
31
Reaction score
25
Habari, Wanajamvi

Ninahitaji kujua kama inawezeka kufungua Acc. ya PayPal kwa Tanzania (Details zote utajaza za Tanzania) na iwe ni kwaajili ya kuhifadhi pesa ila sio ku-withdraw kuja Tz (banned)

Je, kuna uwezekano huo? Kwamba iwe nalipwa na employers wa nje kupitia PayPal then hiyo pesa niitumie kwingine mf: Amazon kununua bidhaa au Forex KuTrade au nihifadhi humohumo PayPal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninahitaji kujua kama inawezeka kufungua Acc. ya PayPal kwa Tanzania (Details zote utajaza za Tanzania)
Ndio inawezekana
kuhifadhi pesa ila sio kuwithdraw kuja Tz(banned)
Account yako Paypal TZ iko limited, hivyo hata kupokea fedha ni Tatizo
kwamba iwe nalipwa na employers wa nje kupitia PayPal then hiyo pesa niitumie kwingine mf: Amazon kununua bidhaa au Forex KuTrade au nihifadhi humohumo PayPal.
Ni vyema ukatumia njia mbadala wa paypal
Kuna
- Neteller
- Skrill
- Perfect money
Zote hizi waweza pokea, hifadhi na kizuri zaidi wakati wowote ule waweza ipata fedha yako kupitia benki au mobile
 
Ndio inawezekana

Account yako Paypal TZ iko limited, hivyo hata kupokea fedha ni Tatizo

Ni vyema ukatumia njia mbadala wa paypal
Kuna
- Neteller
- Skrill
- Perfect money
Zote hizi waweza pokea, hifadhi na kizuri zaidi wakati wowote ule waweza ipata fedha yako kupitia benki au mobile

mkuu nawezaje kutoa pesa neteller or skrill to mobile money please help
 
Ndio, Iwapo tu una laini ya safaricom kenya, Kwa sasa hizi laini za safaricom zinapatikana kirahisi.

ok thanks! Na kuverify account ya skrill or neteller kwa line ya safaricom haisumbui sana sababu inakuwa jina la mtu mwingine?
 
ok thanks! Na kuverify account ya skrill or neteller kwa line ya safaricom haisumbui sana sababu inakuwa jina la mtu mwingine?
Je unafahamu nini na nini kinatakiwa ili account yako iwe verified? skrill au neteller?

Je unafahamu jinsi namba ya simu inavyokuwa verified ?
 
Je unafahamu nini na nini kinatakiwa ili account yako iwe verified? skrill au neteller?

Je unafahamu jinsi namba ya simu inavyokuwa verified ?

Kwa skrill na netelller najua wanahitaji ID na Bank statement kwa ajili ya physical address
 
Back
Top Bottom