Jovanny hm
Member
- Jun 5, 2019
- 31
- 25
Ndio inawezekanaNinahitaji kujua kama inawezeka kufungua Acc. ya PayPal kwa Tanzania (Details zote utajaza za Tanzania)
Account yako Paypal TZ iko limited, hivyo hata kupokea fedha ni Tatizokuhifadhi pesa ila sio kuwithdraw kuja Tz(banned)
Ni vyema ukatumia njia mbadala wa paypalkwamba iwe nalipwa na employers wa nje kupitia PayPal then hiyo pesa niitumie kwingine mf: Amazon kununua bidhaa au Forex KuTrade au nihifadhi humohumo PayPal.
Ndio inawezekana
Account yako Paypal TZ iko limited, hivyo hata kupokea fedha ni Tatizo
Ni vyema ukatumia njia mbadala wa paypal
Kuna
- Neteller
- Skrill
- Perfect money
Zote hizi waweza pokea, hifadhi na kizuri zaidi wakati wowote ule waweza ipata fedha yako kupitia benki au mobile
Ndio, Iwapo tu una laini ya safaricom kenya, Kwa sasa hizi laini za safaricom zinapatikana kirahisi.neteller or skrill to mobile money please help
Ndio, Iwapo tu una laini ya safaricom kenya, Kwa sasa hizi laini za safaricom zinapatikana kirahisi.
Je unafahamu nini na nini kinatakiwa ili account yako iwe verified? skrill au neteller?ok thanks! Na kuverify account ya skrill or neteller kwa line ya safaricom haisumbui sana sababu inakuwa jina la mtu mwingine?
Tupe somo mwl R.c.tJe unafahamu nini na nini kinatakiwa ili account yako iwe verified? skrill au neteller?
Je unafahamu jinsi namba ya simu inavyokuwa verified ?
Je unafahamu nini na nini kinatakiwa ili account yako iwe verified? skrill au neteller?
Je unafahamu jinsi namba ya simu inavyokuwa verified ?