Account hiyo ambayo imeungwa na mtandao wa facebook,kuna mtu kaiingilia nakupost kuwa kesho prof atakuwepo kwenye shoo ya leaders wakati sio kweli wala hawajaongea naye.Ameyasema hayo akiongea na kipindi cha masikani kupitia Times fm,baada ya kupigiwa simu na mtangazaji Gadder G Habash.