sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Wataalam, nimefungua account ya biashara Instagram kwa ajili ya kupost matangazo yangu.
Sasa tangu nifungue nashindwa kufanya baadhi ya activity nachoweza ni kusoma post za watu tu.
Nilipofungua account nilianza kupost baadhi ya picha ila nikiweka captions hazionekani na nikirudia bado inakataa.
Naomba mnisaidie nimekosea wapi