Shivo32
JF-Expert Member
- Aug 19, 2023
- 327
- 645
Msaada wakuu account yangu baada ya kujisajili Jana nkatakiwa kulogin ,,wakati wa kulogin password nliyoweka akat na sajili iligoma nkajua labda ni mtandao kujalbu mara kadhaa naambiwa account locked.
Nimejarbu kuwa tumia ujumbe kweny email yao lakn kimya toka Jana xaa Saba mchana pia simu zao nkipiga sizipati heweni .
Nko Dodoma
Nimejarbu kuwa tumia ujumbe kweny email yao lakn kimya toka Jana xaa Saba mchana pia simu zao nkipiga sizipati heweni .
Nko Dodoma