Maanayake...Sijaelewa kaka
subir after 24 hrsMsaada wakuu account yangu baada ya kujisajili Jana nkatakiwa kulogin ,,wakati wa kulogin password nliyoweka akat na sajili iligoma nkajua labda ni mtandao kujalbu mara kadhaa naambiwa account locked.
Nimejarbu kuwa tumia ujumbe kweny email yao lakn kimya toka Jana xaa Saba mchana pia simu zao nkipiga sizipati heweni .
Nko Dodoma
Hawa jamaa wa Uhamiaji wana website mbovu sana. sijui IT wao analipwa mshahara wa nini.Msaada wakuu account yangu baada ya kujisajili Jana nkatakiwa kulogin ,,wakati wa kulogin password nliyoweka akat na sajili iligoma nkajua labda ni mtandao kujalbu mara kadhaa naambiwa account locked.
Nimejarbu kuwa tumia ujumbe kweny email yao lakn kimya toka Jana xaa Saba mchana pia simu zao nkipiga sizipati heweni .
Nko Dodoma