Personal account labdaHivi unaposema "akaunti ya kawaida" una maaanisha nini?
Mkuu signature yako noma. iPhone bado hawajatoa iphone 7s, ipo 7 na 7plus..Kuna kias flan km max balance Ikizidi unahtaji kujaza fomu ya vyanzo vya pesa yako. Ant money laundering Act Inakuta ufanye hvyo
sent from iphone 7S
Hahahahaha! Daah![emoji134] Ukamuwekee!??![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Kuweka utaweka ila kwenye kutoa ndo watatafuta chanzo.. Leta nikakuwekee
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Daah![emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24] Daah! Yaan wanaichukua hivi hivi unaiona[emoji15] [emoji134] [emoji24] [emoji24]Kuweka pesa utaweka lakini kuitoa utaweza mpaka usibitishe uliipataje? Laasivyo unakuwa umetoa sadaka. Kama alivyofanyiwaga Wema Sepetu aliwekewa Bilioni kwenye akaunti yake. Kuitwa kuthibitisha ana mbwela wakaichukua nadhani kwa kipindi kile cha awamu ya nne akukuwa na ishu sana lakini bank waliiichukua
I do not advice you kuweka that much kwenye savings account. Na kama hiyo pesa siyo ya biashara (umeipata kwa njia nyingine) achana na kuiweka benki kabisaa, iinvest somewhere uilipie kodi. Nadhani utakuwa umeelewa namaanisha nini.Wakuu naomba kujua kama akounti ya kawaida ya benki inaweza kuwa na uwezo wa kuwa na kiasi kama billioni na kuendelea..
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app