AiseeeAccount ikiwa verified matokeo uwanjani yatabadilika?
kama sisi tumeanzishwa 1935 halafu account zetu zinakuwa MPYA hilo ni tatizo tayariWewe account yako umeiverify kwa blue tick?
Yanga account inayotumia ni mpya zote.Kwa hiyo wakati ukifika kila kitu kitakuwa sawa.Sio lazima simba wakiverify na sisi tukaverify tutafanya kwa wakati wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe verified lakini na mshinde kihalali pia.
Hakuna tatizo hapo.Kwani kuna kitu unashindindwa kupata kuhusu Yanga Africa?Miaka 85 hii kila kitu unakijua.Kwa hiyo mambo hayo ni ya kawaida.Y
kama sisi tumeanzishwa 1935 halafu account zetu zinakuwa MPYA hilo ni tatizo tayari
Mo kashindwa kuweka timu hotel..mmeenda kupanga apartment zilizokosa wapangaji Mbweni nani kachoka???TASAF FC mpk wananchi tuichangie pesa labda ndipo watafanya jitihada za kui-verify hio a/c.
dodge
Account ikiwa verified matokeo uwanjani yatabadilika?