Account za Youtube maarufu zaidi kwa kila nchi

Account za Youtube maarufu zaidi kwa kila nchi

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Kwa Tanzania youtube account maarufu zaidi ni YOUNG TUBERS japo kwa upande wangu ndio mara ya kwanza naisikia leo.
ytb.png
 
Hio chart ni ya uongo. Haiwezekani Tanzania contents zinazotazamwa sana youtube ziwe za watoto.

Google na socialblade ndo walitoaga chart ya ukweli.

Waliofanya hiyo research wapitie upya vyanzo vyao.
 
“Young Tubers” wana maana kwamba ni vijana. Watu walio chini ya umri flani. Sidhan kama Tanzania kuna mtu zaidi ya miaka 40 na anamiliki youtube channel inayo trend?
 
Back
Top Bottom