Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,497 Reaction score 16,180 Sep 22, 2020 #1 Kwa Tanzania youtube account maarufu zaidi ni YOUNG TUBERS japo kwa upande wangu ndio mara ya kwanza naisikia leo.
Kwa Tanzania youtube account maarufu zaidi ni YOUNG TUBERS japo kwa upande wangu ndio mara ya kwanza naisikia leo.
AgentX JF-Expert Member Joined Mar 7, 2015 Posts 1,651 Reaction score 1,697 Sep 22, 2020 #2 nami nalifahamu ilo kutoka kwako.!
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Sep 22, 2020 #3 Hio chart ni ya uongo. Haiwezekani Tanzania contents zinazotazamwa sana youtube ziwe za watoto. Google na socialblade ndo walitoaga chart ya ukweli. Waliofanya hiyo research wapitie upya vyanzo vyao.
Hio chart ni ya uongo. Haiwezekani Tanzania contents zinazotazamwa sana youtube ziwe za watoto. Google na socialblade ndo walitoaga chart ya ukweli. Waliofanya hiyo research wapitie upya vyanzo vyao.
Mtuflani Official JF-Expert Member Joined Dec 31, 2019 Posts 1,952 Reaction score 4,416 Sep 22, 2020 #4 “Young Tubers” wana maana kwamba ni vijana. Watu walio chini ya umri flani. Sidhan kama Tanzania kuna mtu zaidi ya miaka 40 na anamiliki youtube channel inayo trend?
“Young Tubers” wana maana kwamba ni vijana. Watu walio chini ya umri flani. Sidhan kama Tanzania kuna mtu zaidi ya miaka 40 na anamiliki youtube channel inayo trend?