Anahitajika Accountant, awe na cheti cha Diploma kutoka katika chuo kilichosajiliwa, uzoefu wa miaka 2 katika kazi, Umri usizidi miaka 35.
kama una sifa tuma Cv na barua ya maombi ya kazi kwa barua pepe mawazo1@hotmail.com au sanduku la barua:
Bulwark Associates Advocates
P.O Box 32032
Dar es Salaam.