AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
Utafikiri umeiba matokeo yangu...lo!
usiangalie soko tu angalia pia kazi ambayo itakupa nafasi ya kufurahia elimu yako na maisha yako ya kijamii. lakini uhasibu kwanza unalipwa kidogo, routine works rundo, ila kazi utapata ila utakua na tension ya kazi kila siku. pia jiandae kuishi guilty life ya kuiba kwani uwezekano wa kukutana na mabosi wezi ni mkubwa so unweza hutaki kuiba lakini ukalazimika kutokana na mazingira yaliyopo au ukikataa ndo hivyo leo utaambiwa umechelewesha report kesho report haijakaa sawa na kadhalika