Ndugu zangu asalaam aleykum,
Tupo vijana kadhaa wajasiria mali tuna accounting package yenye jina tajwa hapo juu.
Tunaiuza kwa bei nafuu sana na ni nzuri kwa mazingira ya tanzania.
Kama unahitaji au unajua kampuni, azaki, asasi au mtu binafsi anayehitaji au kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa mawasiliano hapo chini.
Vile vile tunatoa ajira kupitia pakage hii. Ukiuza kwa millioni mbili unapata kamisheni ya asilimia ishirini (20%)