Asome relevant application software kama vile
1. Spreadhseets - itampa uwezo wa ku-play around na numbers efficiently. Hii ni application software class moja ambayo kwa experience yangu ni indispensable kwa mhasibu.
Hapa sikusidii spreadsheets at "introduction" level bali at power user level. Kuna a lot of very useful ways that accountants can use spreadsheets to make their work faster, simpler. These will not be taught in "introdcution" classes but rather in specialised spreasheet courses for accountants and the likes. Or they can be taught / passed down by a power user who is an accountant or understands what accountants do.
2. Programming pia ni jambo zuri kwake kujua. Ningemshauri aanze na ku-programme application software anazotumia (spreadsheets, word processors, n.k.) ili ku-automate repetitive tasks na hivyo kumfanya more efficient kwenye kazi zake. Hapa nakusudia issues kama macros na vitu kama VBA (visual basic for applications) kwenye excel na word (or anything similar in other office suites)
3. Akitoka hapo anaweza panda ngazi na kujifunza jinsi ya kuandika programmes za ku-solve particular accounting / business applications (payroll, stock, HR, etc come to mind). At this point atajikuta anajifunza juu ya databases. Hii ni aspect nyingine ya "IT" ambayo inaweza kuwa ya msaada sana kwa mhasibu, na most other professions for that matter. its unfortunate that it is not taught i the context of accountancy, medicine, engineering or other professions (at least where I am it is not 🙁 )
4. Jinsi ya kutumia the web effectively kutafuta resources mbali mbali kuhusiana na kazi yake. Mie natumia sana newsgroups, forums and the likes kusaidia kupanua ufahamu wa kazi zangu za uhasibu na ICT na uongozi. I never fail to be amazed every other day at the wealth of information out there despite doing this for more than 10 years now!
Question is what course would cover all this?!
Atapata greatest utility kama ataweza kupata course / instructor akafundishwa with particular reference to his work. Najua ni vigumu. Possibly a one-on-one with a power user kwenye haya mambo ndo the best way to go about it. It would not be a degree but it would give the person the skills necessary to do their work efficiently and effectively.
Most of all itahitaji committment yake kubwa sana. One can be taught the basics, the building blocks and how to apply the building blocks to facilitate ones work. Basi. Toka hapo ni yeye na bidii yake ku-apply kile alichojifunza kwenye kazi zake za kila siku.
Mie nadhani hiki ndicho angefany kama "anapenda kusoma IT ili kuongeza uwezo wake katika kutumia computer na mawasiliano kwa ujumla.Kabla hajafanya hivyo angependa kusom ambacho hakita mtoa kabisa kwenye Accounts,yaani afanya course za computer zinazoweza kuwa applied kwenye accounts"